BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Your browser is not able to display this video.
Simbachawene amesema pia taratibu za awali za kuanza ujenzi wa ukumbi wa mikutano na baadhi ya majengo ya ofisi katika Ikulu ya Chamwino zinaendelea.
Aidha amesema katika hatua nyingine ukarabati wa majengo katika Ikulu Ndogo ya Tunguu-Zanzibar na βRest Houseβ iliyoko eneo la Mbweni, Zanzibar unaendelea na ujenzi wa majengo ya Mapokezi, Polisi, Geti Kuu na jengo la mitambo ya umeme umekamilika.
Ujenzi wa ukuta na baadhi ya majengo katika Ikulu Ndogo ya Arusha pia unaendelea.