benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amekuwa akitoa majibu na kauli zisizojitesheleza pale anapotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu mambo ya msingi yanayohusu masuala ya amani na usalama ndani ya Taifa letu hasa ikizingatiwa yeye ndiye Waziri mwenye dhamana ya Wizara inayosimamia Jeshi la Polisi.
Hapo jana akihojiwa na kituo cha ITV Waziri Simbacahwene ametoa majibu ya ajabu na yasiyoendana kabisa na "levo" ya Uwaziri.
Ameonesha yu mtupu sana katika kujibu hoja ngumu, asiyeweza kufanya kazi "under pressure" lakini pia asiye na ufahamu wa kutosha wa mambo yanavyoenda duniani.
Je, ni wakati sahihi wa Rais Samia kumtumbua Simbachawene kama alivyofanya mtangulizi wake JPM kabla ya kumrudisha tena?