Subiria yuvi ccm na chawa wake wanakuja na majibuWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
CCM tena ndio wameweka Upinzani au Katiba>? Huyu adanganye watoto wa 2000, asitufanye wajingaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.

hawajielewi hawa, ujue wanataka kututeka tenaWanatangaza Amani uku wameficha mapanga
Kauli nzuri sana hii ila moyo wa wana ccm walio wengi wanaona kuwa mpinzani ni kosa la jinai.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
Atafukuzwa ccmWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
anafukuzwa leo leo hiiWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
Kwa CCM ni ethical dilemmaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
Wapinzani wako chini ya Wizara yake; UTAWALA BORA. hatakiwi kuwasema kama mwanasiasa kwao sababu ni watu wakeWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
Ngoja kuua sisimizi aje amsikie...Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba.
View: https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
Maza ni mtekaji mbaya snSimbachawene awe makini tu.Asije akatekwa na kundi la kizimkazi.Maana Kwa Sasa hawataki mama Yao aambiwe ukweli