SimbaNET Hooks into SEACOM

Unfortunately siwezi kuzitundika bei hapa kwa sasa kwa sababu za kibiashara.

Mkuu Chuma wasiliana nasi Sales@simbanet.net

Tukishajua mahitaji yako, tutakueleza bei yake.
 
d=
Dah Muheshimiwa kuna ubaya gani sisi wateja wenu tukijua price yenu mpya?. Basi naomba unipe ufafanuzi kidogo,mimi ni mteja wenu na nimechukua speed ya 128 kbps, je mta niongezea Bandwidth au mta ni punguzia bei?

JOSM; Ni-PM nitakujulisha.
 
Mkuu kwani ukiweka bei kwa matumizi ya kawaida kama nyumbani hivi kuna ubaya gani?

Mkuu Fidel:

SimbaNET tunahudumia Makampuni, Mashirika, Serikali nk.

Kwa matumizi ya nyumbani tunawatumia PARTNERS. Be assured kuwa kupitia wao huduma zetu za Broadband na CDMA ziko low sana hata kwa $ 50 kwa mwezi, unlimited BW.
 
Kwa kuwa sisi ni Watanzania na kipato chetu ni kwa shilingi, kwanini bei mnatoa kwa dola kama walivyokuwa wakifanya makampuni ya simu zamani. Hii inafanya bei kubadilika kila kukicha!
 
Kwa kuwa sisi ni Watanzania na kipato chetu ni kwa shilingi, kwanini bei mnatoa kwa dola kama walivyokuwa wakifanya makampuni ya simu zamani. Hii inafanya bei kubadilika kila kukicha!

Nono;

Biashara ya Service Providers ni mauzo ya Bandwidth ambayo yanunuliwa pia kwa Forex kwa kipimo cha malipo ya kila mwezi.

hata hivyo ukisaini mkataba wa zaidi ya mwaka na ISP bei huwa zinakuwa Fixed hata kama ni TZS.
 
http://www.nation.co.ke/business/news/-/1006/507342/-/j3kmhkz/-/index.html

http://www.nation.co.ke/magazines/s...04/-/view/printVersion/-/11sx296/-/index.html

http://allafrica.com/stories/200907160680.html

Greediness!
Gharama ikipanda (unnecessary) kwa end-users shauri yao.
 
Sactus,
Bila shaka hii yote unazungumzia Dar pekee. Ningependa kuuliza je kwa wale walio mikoani mna mipango gani? Maana najua bado hii kitu haijajengwa kwenda mikoani!
huko mna mipango gani?
 
Eti, mikoani vipi Simbanet mtatufikishiaje hiyo internent ya mkonga ambayo speed imeongezeka zaidi ya mara 2
 
Greediness!
Gharama ikipanda (unnecessary) kwa end-users shauri yao.

LazyDog;

Katika ushindani wa Kibiashara hili si jambo geni. Angalia hata Tanzania, ingawa TCRA ina-encourage Mobile Telephone Operators kushare Towers lakini hadi leo hakuna aliye tayari kufanya hivyo. Sijaelewa bado sababu hasa za kimsingi ni zipi.

Nadhani hii ni changamoto ambayo inabidi ifanyiwe kazi na wadau wote wakiongozwa na TCRA.
 
Sactus,
Bila shaka hii yote unazungumzia Dar pekee. Ningependa kuuliza je kwa wale walio mikoani mna mipango gani? Maana najua bado hii kitu haijajengwa kwenda mikoani!
huko mna mipango gani?

Mchukia Fisadi;

Bado kuna changamoto ya kufikisha mawasiliano ya mkonga mikoani. hata hivyo nadhani ni ya muda tu.

Taarifa zisizo rasmi kutoka reliable source zinasema kuwa sasa hivi Dodoma kupitia Fiber ya TANESCO wameshaunganishwa huku TTCL ikimanage mawasiliano hayo. TANESCO kufuatana na mipango ya Kitaifa wana Mkonga ambao tayari unaunganisha mikoa karibia kumi. Taarifa zisizo rasmi pia zinasema Mkonga wa Taifa sasa hivi unajengwa na Wachina kuelekea Singida nia ikiwa ni kuunganisha Burundi, Rwanda na Uganda ambao wana-prefer kuunganishwa kupitia Tanzania kuliko Nchi nyingine.

Bado kuna utata wa kiutendaji ni lini Mkonga wa Taifa utapatikana kwa matumizi ya Service Providers. Ingawa TTCL ndiyo wametajwa kuwa watamanage Mkonga lakini bado mipango ya kiutendaji haiko wazi.
 
Eti, mikoani vipi Simbanet mtatufikishiaje hiyo internent ya mkonga ambayo speed imeongezeka zaidi ya mara 2

ThinkPad;

SimbaNET inategemea mipango ya kitaifa kufikisha mawasiliano ya Mkonga mikoani. Hakuna kampuni binafsi ambayo imepata permit ya kujenga Mkonga kwenda mikoani.

Ninayo matumaini kuwa kabla ya mwishoni mwa 2009 mipango ya kiutendaji ya kutumia Mkonga itakuwa tayari na wateja wa mikoani wafaidika nao.
 
Simbanet mbona link yenu iko slow ile mbaya pale KCB bank mlimani city, pia inakatikakatika. kama dsm hivyo je mikoani????
 
Simbanet mbona link yenu iko slow ile mbaya pale KCB bank mlimani city, pia inakatikakatika. kama dsm hivyo je mikoani????

Mnyamwezi hatuwapi huduma ya Internet KCB. Ni service tofauti kabisa na ya Internet.

Speed ya huduma yoyote inategemea Capacity ya BW. Si kila link iliyo slow inasababishwa na Service Provider. Check na wahusika watakupa sababu. Kama wewe ni key person, wapigie Customer Support yetu 2112000 watakusaidia au kukueleza sababu ni nini.

FYI: SimbaNET has connected more than 50% of all commercial banks in Tanzania.
 
sanctus mtsimbe
je kcb ni wateja wenu??? hata kama mnawapa 64kbps au 128kbps bw lakini iko slow na inakatikatika.
kwa taarifa kcb mlimani wanasema kampuni yako.
pia najua sio internet mnayowapatia kcb.
 
sanctus mtsimbe
je kcb ni wateja wenu??? hata kama mnawapa 64kbps au 128kbps bw lakini iko slow na inakatikatika.
kwa taarifa kcb mlimani wanasema kampuni yako.
pia najua sio internet mnayowapatia kcb.

Mkuu Mnyamwezi bado kiutaratibu jibu langu liko hapo juu.

zaidi ya hayo Speed ya Link inategemea yafuatayo:

- Amount of Data
- How many Users are Connected
- The Bandwidtth Capacity
- Internal Network
- Speed of your Computers

Kuwa mtoa huduma tu haina maana kuwa wateja wako watakuwa na speed kubwa depending on above.

Sijasema KCB si wateja wetu.

Tunawajibika kumsaidia mteja kwa kufuata utaratibu niliokuelezea.
 
Sanctus,
asante sana kwa majibu fasaha.
Hivi hawa NMB ni wateja wenu..... pale TRA mwenge kuna kero sana utasikia hatuna mawasiliano na matawi mengine ...
Mimi nawashauri ninyi (service providers) muwashauri hawa wateja wenu na muwasaidie kufanya "systems dimensioning" ikiwezekana ili waweze kujua uwiano uliopo kati ya number of users, bandwidth, na time management PLUS customer retension. Najua kuna wakurugenzi kibao kwenye makampuni/mabenki ya kibongo ambao walisoma enzi za mwalimu (with regard to ICT).... Sio vibaya kuwa wamesoma zama hizo, lakini wanahitaji ushauri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…