SimbaNET Hooks into SEACOM

Mutensa;

Ushauri wako ni mzuri sana and I wish ungekuwa unafuatwa na clients wengi matatizo yangepungua kwa kaisi kikubwa.

Takwimu tulizonazo zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 85% ya matatizo ya Network na Connectivity yanatokana na mteja mwenyewe yakiwemo:
- Virus katika Network
- LAN isiyo nzuri
- BW over-utilization
- Internal skills ya kumanage Network just to mention a few.

NMB si wateja wetu.
 
Vipi mikoani hiyo net kutoka Simbanet ambayo imeunganishwa na mkonga inauwaje mkuu mbona haunipi maelezo?

Think pad;

Nilishakujibu. Angalia post ya 93 na 94.

Here are the answers:

By whose statistics? You could be called to account for your statement Mr. Mtsimbe. BTW, while at it, who are the commercial banks and who aren't?!
 
By whose statistics? You could be called to account for your statement Mr. Mtsimbe. BTW, while at it, who are the commercial banks and who aren't?!

Mkuu very simple:

There are about 32 Banks and Financial Institutions. Source: BOT Website and Reports. You can also check their website.

I have on board 22 Banks.

Let anyone sue me and will produce contracts to support my figures.

LOL.
 
Inaelekea hujasoma gazeti la East African lililotoka jana

soma page 27

otherwise i am very impressed na jinsi uliyoelezea kuhusu SIMBA NET na nimefiatilia mjadala mzima jinsi ulivyokwenda

Binafsi I have always been impressed by Ali Mufuruki na ni mtu ambaye i dont hesitate kufanya nao biashara

Anywa nitakutuimia PM ili tuangalie jinsi gani naweza twaweza kusaidiana kibiashara

By the way hivi mfano mtu wa ulaya anapokuambia nataka nipate broadband service yaani videos,downloads, na kila kitu je mnaweza kumpatia kwa matumizi ya nyumbani na ofisini?

At what price kwa mwezi interms of USD?

Lastly why should someone use SIMBANET and not WIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…