SimBank ina shida gani leo?

SimBank ina shida gani leo?

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu,

Leo mbona simBank inasumbua hivi.. shida ni nini au ni kwangu tu. Hautaki kutuma pesa kabisa dadeq halafu wanakata tu pesa za Salio🤔🤔

NMB
 
Daaa mzee yaani hata kutaja Aina ya Bank umekausha kabisaaa?
BTW kwa nini hamtumii mobile app?
 
Itakua kuna kundi la watu wamelipwa au wanatarajia kulipwa hivyo wako wamejazana kwa system 😃😃
 
Wakuu, Leo mbona simBank inasumbua hivi.. shida ni nini au ni kwangu tu.. hautaki kutuma pesa kabisa dadeq halafu wanakata tu pesa za Salio🤔🤔
Ingia Play Store then download App ya benki husika, huduma kama salio ni bure(bundle lako tu).
 
Back
Top Bottom