KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nimelinganisha huduma ya simbanking ya NBC haina ubora unaotakiwa, Simbanking ya CRDB kwani ukituma pesa inakuonyesha jina la unaempelekea na hata ukitumiwa pesa benki inakuonyesha aliyekutumia tofauti na NBC.
Mimi nina account kote, hebu NBC mbadilike kuboresha huduma yenu, tunapoteza pesa, na nyie tukikosea muamala kurudisha mnasema mtandao wa simu husika ndio warudishe
Mimi nina account kote, hebu NBC mbadilike kuboresha huduma yenu, tunapoteza pesa, na nyie tukikosea muamala kurudisha mnasema mtandao wa simu husika ndio warudishe