Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 431
- 433
Kuna mbunge mmoja aliwapa za uso wake za mawaziri kuwa wanakwenda kuuza sura tu bungeni, hawa nao itakuwaje?Serikali Kwa Vituko Haijambo Sana
Wanawakilisha Wanariadha wenzao, japo Kocha na watu wake wamemfukuza Mwanariadha wa kike kambini, Failuna alitakiwa na yeye awepoKuna mbunge mmoja aliwapa za uso wake za mawaziri kuwa wanakwenda kuuza sura tu bungeni, hawa nao itakuwaje?