Ben god
New Member
- Feb 4, 2019
- 1
- 0
Hello friend i hope mko poa. Naomba ushauri juu ya wazo langu.
Kuna fursa nimeiona kitaa kuna tatizo la kutoa/kutuma pesa kwenda mtandao mwingine. Sababu ya tatizo hilo ni baadhi ya maeneo kuwa mtandao mmoja wa simu na gharama kubwa za kutuma pesa kwenda mtandao mwingine .
Mimi nataka kutengeneza laini zangu as kampuni na kuzisambaza kwa watu kwa ajili ya kutoa/kutuma pesa kwa mitandao yote kwa gharama sawa.
Maswali yangu
1. Naweza kutengeneza kampuni yangu na kuwa na simcard kwa ajili hiyo?
2. Naweza kutengeneza network/kushare na kampuni nyingine?
Mawazo yako no muhimu sana. Ahsante.