Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
Mimi napenda ngoma zake zoote kasoro duduke. Pia namwelewa D'ija sijui siku hizi kapotelea wapi maana ile ngoma yake ya awww inanikumbusha ilikuwa kama safari iliyoanza katikati . . .Nani anamuelewa Simi kama mimi? Ni msaniii Wa kike kutoka Nigeria. Ana sauti ya kipekee sana.
Ukisikia "duduke", " I don't know you well" ni talented mno. Angekuwaa majuu angekuwa level za kina Rihanna. She is my best.
DoyinHuyo binti anaimba vzr sana! Napenda nyimbo zake, hasa lile pini alilopewa shavu na Mr eazi
Jhene yupo duniani huko..kumfananisha na hawa wa huku Africa si sawa!Ongezea na mwanadada wa kuitwa Jhené Aiko, kisha leta mrejesho hapa!
Kumbe Adekunle ndio 'Joromi'!!I love the Girl,,Adekunle Gold ana'enjoy sana fala yule
Tatizo Hana NYOTA.
Kama rubi tu anaimba sana lakini yupo pale pale
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ruby hamna kitu mule, kelele tu na kutuumiza meno!