Hivi nani kawambia kuwa kada wa ccm ni kuwa hakimu,maana inasikitisha kuona viongozi tena wa ngazi ya chini kabisa(kitongoji) wanachukua sheria za kumzidi hata rais.Mwenyekiti mmoja wa kitongoji cha ilongelo,kata ya ndago,wilaya ya Iramba ametia fora kwa kuthubutu kuwaamuru kwa barua rasmi wakazi wapatao watatu kuhama kitongoji hicho ifikapo tar.18/12/2012 eti wameshindwa kuchangia mchango wa kujenga sekondari.
Cha kusikitisha na kuaminisha kuwa pengine ndio taratibu za viongozi wa ccm,ni kuwa pamoja na nakala ya barua hizo kutumwa kwa mwenyekiti na VEO wa kijiji cha Nguvumali,hawakutoa mabadiliko yoyote juu ya barua hizo.Hivi ndani ya ccm kuna utawala wa haki na sheria au kuna utawala wa KUPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA WATANZANIA.Kwani mchango ni lazima? kama wanataka mchango kuwa lazima basi wabidilishe jina 'mchango' waite 'kodi' ili ifae kumshtaki mtu akishindwa kutoa.
Jamani,huu ni udhalilishaji wa utu wa mtu.kwa sababu mtukio mengi na vitisho vimekuwa vikitolewa na baadhi ya makada na viongozi wa ccm kana kwamba wao ndio mahakama,na baadhi yao kuwakamata na kuwatoza fedha au mali kubwa wananchi.
Ila wakati ni ukuta muda wao umefika,ambapo wananchi waliowaweka ndio watakao waondoa.maana kutojua sheria si tiketi ya kumnyanyasa na kumtisha mtu.IKUMBUKWE KUWA MTU NI 'UTU' NA WALA SI CHAMA,KABILA,UMASKINI,UTAJIRI,JINSIA,RANGI N.K MNAOJUA SHERIA KWA KINA AU KWA SEHEMU WASAIDIENI WATU VIJIJINI.KUMB:MARTIN LUTHER ALISEMA 'KUNYAMAZA NI SAWA NA DHAMBI YA USALITI'