LGE2024 Simiyu: ACT Wazalendo wavalia njuga sakata la uhaba wa maji huko Busega. Awataja viongozi wa CCM kuhusika!

LGE2024 Simiyu: ACT Wazalendo wavalia njuga sakata la uhaba wa maji huko Busega. Awataja viongozi wa CCM kuhusika!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi?

Akiwa anaongea kwenye kampeni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ameeleza kutoridhishwa na changamoto ya maji katika kijiji cha Mkula, jimbo la Busega, akisema tatizo hilo linatokana na ukosefu wa viongozi wenye dhamira ya dhati kutoka CCM

Soma pia: Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini



Amewataka wananchi kuwaamini wagombea wa ACT Wazalendo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 27, 2024, kwa kuwa wanazingatia dira na ilani ya chama hicho kwa maendeleo ya maeneo yao.
 
Back
Top Bottom