Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

Madelu kataa hizi sifa za kijinga wanakuweka kwenye spotlight uonekane ni threat 2030 wakule kichwa mapema.
Akatea hizi sifa wakati yeye ndio analipa watu kumpa sifa za aina hii?
 
Gawanya masaa 24 kwa siku kwa watu 1,000 kisha uone aliwezaje kusikiliza watu hao kwa siku.Acheni siasa za kitoto. Muombe akupe kazi kwenye mabus yake ya Esther Luxury coach, hapa unajidhalilisha tu.
 
ACHA UJINGA
 
wakidaiwa kufika zaidi ya watu 1,000 kwa siku—na kwamba alikuwa akiwapatia muda wa kuwasikiliza.
Tuseme anawasikiliza kutwa nzima tangu asubuhi hadi jioni bila break ya chai wala lunch:

Watu 1000 ÷ saa 12 = watu 83 kwa kila saa moja..

Huo si ni UONGO wa wazi??

Machawa mnakera na hizi propaganda zisizo tekelezeka !!
 
Mitutusa si iliambiwa na kale kamalaya da mange kuwa aliwekewa sumu na abduli na yenyewe ikaamini
Ni mpaka juzi alivyoaanza kuifukunyua Chadema ndio mmejua ni kamalaya pesa mbele
 
Huyo pimbi madelu badala ya ku deal na mzizi ana deal na matawi
hopeless kabisa!
 
Mwenyewe nimegundua iko
 
Gazeti gani linamposst mtu mmoja ukurasa mzima, alafu AI tupu

Usimfananishe mzee wetu na vitu vya ajabu ajabu. Muache apumzike baba yetu
 
Kwa maelezo hayo Mwigulu hatufai sisi CCM.Kiongozi mwenye misimamo ya aina hiyo hatufai kama chama.
Ingawa hajaonyesha tabia za Magufuli,lakini anaonekana ana uwezo wa kubadilika akija kuwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…