LGE2024 SIMIYU: Matukio yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

LGE2024 SIMIYU: Matukio yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

WanaJF,​

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine


Simiyu.jpg

Mkoa wa Simiyu ni mojawapo ya mikoa ya Tanzania, ulioko kaskazini-magharibi mwa nchi. Mkoa huu ulianzishwa rasmi mwaka 2012 baada ya kugawanywa kwa Mkoa wa Shinyanga. Simiyu umepewa jina kutokana na mto Simiyu ambao hupita katika maeneo yake. Makao makuu ya mkoa huu yapo mjini Bariadi.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA SIMIYU
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.

Simiyu LGA.png
SOMA PIA

Idadi ya watu

Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Simiyu ulikuwa na jumla ya wakazi wapatao 1,856,176.

Wilaya za mkoa wa Simiyu
  • Bariadi – Makao makuu ya mkoa wa Simiyu
  • Meatu
  • Maswa
  • Itilima
  • Busega

Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Simiyu una jumla ya majimbo ya uchaguzi Saba
  1. Bariadi
  2. Busega
  3. Itilima
  4. Meatu
  5. Maswa Magharibi
  6. Kisesa
  7. Maswa Mashariki
Pia soma
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

Viunganishi vinavyohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 mkoa wa Simiyu

 
Back
Top Bottom