Simiyu: Mazishi ya Mwanafunzi Mhoja Maduhu yalivyokuwa, ni yule aliyefariki muda mfupi baada ya kuchapwa na mwalimu wake

Simiyu: Mazishi ya Mwanafunzi Mhoja Maduhu yalivyokuwa, ni yule aliyefariki muda mfupi baada ya kuchapwa na mwalimu wake

Alale pema peponi, mwalimu mwenzangu huyo hatokuwa na amani (ingawa sijui mazingira halisi yalivyokuwa) kwa muda mrefu sana.
 
Kazi ya ualimu ina majaribu mengi sana. Kwa mwalimu usipokuwa makini, au kuchukua tahadhari mapema; lazima tu utaangukia kwenye majanga kama haya.
 
Back
Top Bottom