Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu
Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024.
Baada ya kukamatwa Polisi walikwenda kukagua Nyumbani kwake na wakachukua vifaa vyake vyote vya kazi ikiwemo simu la laptop yake.
Inasemekana mwandishi huyo naye kasafirishwa kupelekwa Mwanza.
Tumeongea na viongozi wa Simiyu wamethibitisha tukio hilo, lakini pia wakili wetu aliye Mwanza ameanza kufuatilia tukio hilo.
Tutazidi kujuzana
18.06.2024
~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari

We are just getting started