Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
nilitaka kushangaa mwandishi wa uhuru media akamatwe na nani wakati mmiliki ni ccm/serikali. Ila kwa ile ishu ya yule ex- rc sishangai. Yule mkubwa kukumbwa na sakata lile si kawaida kuna namnaMwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu
Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024.
Baada ya kukamatwa Polisi walikwenda kukagua Nyumbani kwake na wakachukua vifaa vyake vyote vya kazi ikiwemo simu la laptop yake .
Inasemekana mwandishi huyo naye kasafirishwa kupelekwa Mwanza .
Tumeongea na viongozi wa Simiyu wamethibitisha tukio hilo , lakini pia wakili wetu aliye Mwanza ameanza kufuatilia tukio hilo.
Tutazidi kujuzana
18.06.2024
Uhuru Media si chombo cha Lucas MwashambwaMwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu
Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024.
Baada ya kukamatwa Polisi walikwenda kukagua Nyumbani kwake na wakachukua vifaa vyake vyote vya kazi ikiwemo simu la laptop yake.
Inasemekana mwandishi huyo naye kasafirishwa kupelekwa Mwanza.
Tumeongea na viongozi wa Simiyu wamethibitisha tukio hilo, lakini pia wakili wetu aliye Mwanza ameanza kufuatilia tukio hilo.
Tutazidi kujuzana
18.06.2024
Hizi mambo za kutesa Watanzania kisa madaraka sio nzuri hizi..