Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Dunia ina mambo.
 
hahaha!hawa watashinda hii kesi wakikata rufaa!wamehukumiwa kwa kosa gani katika katiba?wanasheria mlipo huku mtujuze
 
kuna sheria inakataa ndugu kuoana...??
Ndugu wa damu kuona ni hatari sana kwa jamii sababu ya risk ya kuketa ‘Homogeneity’ kwenye vinasaba vya watoto ambapo vinaweza kusambaa kwenye jamiii vizazi na vizazi. Magonjwa mengi ya vinasaba kama ‘Sicke celled anaemia’ (seli mundu), ‘Albinism’ (Ualbino) huwa hayajionyeshi wala kuonekana kwa watu wengi sababu ipo katika hali ya (Heterogeinity), ili yasije kulipuka kuptia ‘Homogenous’ combinations, watu wanatakiwa kwenda kuoa mbali na ukoo wao iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…