Kuna kitu cha zaid behind the scene, mtu mzima unakua mwoga kiasi hicho hapana kabisa hata kama angekua ni graduate wa mwaka huu asinhefany hivyo.Ile mamlaka isikie tu.
Woga au anxiety ni kitu kinawakuwa watu wote kwa wakati wao hata wewe Kuna angle ukiingia au ukiguswa woga unakushikaMbona kuna vitoto vya sekondar na wakulima huwa wanakutana nae wanaongea vzr kabisa!??
Au ndo kusoma kwingi kunaondoa maarifa!?
ona utoto unao zungumza sasaJpm anatisha hadi lisu na genge lake wamekimbia nchi sasa ukiwa raia ukakuta na zile jemba za TISS zimepiga bunduki zao za kiisrael na miwani ya badaboda kuku ikiitana kwa code za airplanes lazima ukae
Hivi aliyeitwa kuapishwa alikuwa pekee yake?Woga au anxiety ni kitu kinawakuwa watu wote kwa wakati wao hata wewe Kuna angle ukiingia au ukiguswa woga unakushika
Huyo ni binadamu tu,ya nini kumtetemekea?Kiufupi siombei kukutana na Rais magufuli Bora nikutane na Mzee magufuli maana atanichukulia Kama mjukuu wake au mwanae lakini kukutana na hiyo tittle yake utakuwa umekutana na amiri jeshi mkuu wa majeshi.
Tanzania mtu anaweza kuwa na tatizo la macho tu anahitaji miwani, kashindwa kusoma vizuri.Mbona kuna vitoto vya sekondar na wakulima huwa wanakutana nae wanaongea vzr kabisa!??
Au ndo kusoma kwingi kunaondoa maarifa!?
Uoga wako tu,Rais wetu ni mwema.Mnashinda nae Kama jirani nenda pale chamwino ndio utajua hujui.
Mkuu,wengine humu hawana chembe ya huoga Yani wanakua nae na wanatema cheche, tena Kama mh Heche, aliwai tema cheche kaweka mkono mfukoni,Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.
Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya urais.
Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.
Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.
Mkulungwa makusudi.
Hahahaaaaa yaani kichwa Cha habari kimenichekeshaNakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.
Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya Urais.
Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.
Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.
Mkulungwa makusudi.
No ila tu ndo angle ya jamaa kaogopa kumface magufuli
Jk muda wote anatabasamuNa uhakika una uelewa ila uliyoyaandika hapa hayana ukweli wala uhalisia wowote.
Sikuwahi kukutana na Rais wala Waziri Mkuu lakini nilipokutana na Rais Kikwete owa mara ya kwanza, sikuona chochote cha ajabu. Nilisalimiana naye kama binadamu wa kawaida huku nikitambua mamlaka makubwa tuliyomkabidhi.
Nilikutana na Rais Bush Junior Santiago, wala hakukuwa na tukio lolote lililonihusu na yeye ila tulikuwa hoteli moja. Aliponiona kwa vile tu nilikuwa mwafrika mweusi pekee yangu katika hoteli ile, akaniuliza kama natoka Afrika, dakika chache tulifanya chating, sikuona cha pekee zaidi ya kutambua kuwa anaongoza Taifa kubwa lenye nguvu.
Huko kubabaika kwake na kushindwa kusoma page 1 tu, ni jambo la pekee. Kwa wale tunaoongozwa na imani, tunadhani anastahili kujihoji namna alivyoupata ubunge wake. Laana huwa zipo. Zinaweza kufanya kazi mapema au baadaye. Kudhulumu haki ya mtu huleta laana.
Yakobo alidhulumu haki ya kaka yake, Isaka, laana ilimfuata maisha yake yote, kuanzia kisa cha Rachel na Leah, mpaka kuuzwa kwa Yusufu.
Hii haitaishia kwa huyu tu. Na huenda ya huyu ikawa ni ndogo kuliko wengine watakaofiatia siku za mbeleni. Wengine, tutapata nafasi ya kujua lakini wengine hatutajua, watajua wao wenyewe katika maisha yao.
Kama unataka maisha ya heri, ogipa sana kudhulumu haki ya mtu.
Lakini kwa upande mwingine, kama huyu bwana ni mtu wa haki, yawezekana Mungu anataka kumwepusha na hatari ambayo yeye wala sisi hatujui. Ndiyo maana, watu wa Mungu wanatakiwa kupokea kila jambo kwa shukrani na imani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kiazi kama mwenzako .Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.