Wapo wengi ila huyo anayezungumzwa hapo ni brother wa striker wa zamani wa Milankuna inzaghi wa ngapi
kumbe someone na Philip inzagh ni nduguWapo wengi ila huyo anayezungumzwa hapo ni brother wa striker wa zamani wa Milan
Sijui wamefikiria nini kumuacha Conte wakati Conte kaishaifanya Inter iwe moto. Wanamchukua Inzaghi ambaye anatatizo la kuwa na consistency kwenye matokeoUongozi wa Inter Milan yapata saini ya Simon Inzhagi kuwa kocha mkuu wa Inter Milan baada lazio kushindwa kuafikiana makubaliano ya mkabata mpya hivyo kuacha milango wazi kwa kocha Inzhagi.
Lazio imeamalika na kuwa timu bora kwenye ligi ya italia (Serie A) tokea Simon Inzhagi achukue uongozi mwaka 2016 hivyo basi uongozi wa Inter Milan unaona ni mtu anaefaa kuifundisha klabu ya Inter Milan.
Habari nyingine Serie A: Spalleti yuko mbioni kuwa kocha wa Napoli baada ya timu hiyo kumtimua Gatusso.
Bro's kabisa...kumbe someone na Philip inzagh ni ndugu
Nimesoma nimeona tu sababu ya Inzaghi kuondoka ni kushindwana kukubaliana juu ya mkataba mpya. Na hivyo Intermilan wameona kama mwanya wakumpata Inzaghi kwavile ameweza kuifanya Lazio iwe bora kwanzia Inzaghi aichukue timu..Soma tena thread kaka sababu ipo ya kwanini conte kaondoka.
Aaah nmechanganya thread.. Kuna moja kuhusu Antonio Conte nmeandika sababu zake kuondoka ila ni hizi ; uongozi wa klabu umeshindwa kuelewana na conte kuhusu mauzo ya wachezaji na kupunguzwa mishahara. Hivyo vitu yeye hajaridhika navyo so wakakubaliana waachane.Nimesoma nimeona tu sababu ya Inzaghi kuondoka ni kushindwana kukubaliana juu ya mkataba mpya. Na hivyo Intermilan wameona kama mwanya wakumpata Inzaghi kwavile ameweza kuifanya Lazio iwe bora kwanzia Inzaghi aichukue timu..
najaribu kuwaza ubora wa Conte vs Inzaghi naona kama wanaenda kucheza kamari tena baada ya kupaa watashuka hasa kwenye ushindani wa champions league. Kutetea ubingwa nako kunaweza kuwa changamoto hasa ujio wa Allegri ndani ya Juventus. Kuna timu zimeimarisha vikosi kwa kumleta kocha wazoefu Kama Mourinho.
Mbona hata Mimi sioni sababu ya inter kumuacha conte?Soma tena thread kaka sababu ipo ya kwanini conte kaondoka.
Mbona hata Mimi sioni sababu ya inter kumuacha conte?
ni mdogo wake na Philipo Inzag aliyekuwa mchezaji na kocha wa ac milankuna inzaghi wa ngapi
Mourinho kaenda timu ganiNimesoma nimeona tu sababu ya Inzaghi kuondoka ni kushindwana kukubaliana juu ya mkataba mpya. Na hivyo Intermilan wameona kama mwanya wakumpata Inzaghi kwavile ameweza kuifanya Lazio iwe bora kwanzia Inzaghi aichukue timu..
najaribu kuwaza ubora wa Conte vs Inzaghi naona kama wanaenda kucheza kamari tena baada ya kupaa watashuka hasa kwenye ushindani wa champions league. Kutetea ubingwa nako kunaweza kuwa changamoto hasa ujio wa Allegri ndani ya Juventus. Kuna timu zimeimarisha vikosi kwa kumleta kocha wazoefu Kama Mourinho.