mkuu nashkuru kwa kunirekebisha saafi saana anaitwa JOMBIhaitwi Zombie, jina lake halisi ni Said Abinara aka JOMBI
mkuu ukitaka kupata hao watu inabidi uende moshi kule ndo kuna masterling wa ukweli.....Natafuta majambazi walioachana na kazi hiyo, nifanye nao interiew na kuziweka habari zao hapa....... mwenye link ani - PM ...........
mkuu nipm nitakusaidia kukulink na baadhi yao...Natafuta majambazi walioachana na kazi hiyo, nifanye nao interiew na kuziweka habari zao hapa....... mwenye link ani - PM ...........
Natafuta majambazi walioachana na kazi hiyo, nifanye nao interiew na kuziweka habari zao hapa....... mwenye link ani - PM ...........
Ninayo stori mmoja ya kijana aliyekuwa kibaka wa kundi la KIBOKO MSHELI, enzi hizo, nitakuja kuiweka hapa siku zijazo.
Hapa suala la malezi linahusika sana...
Mhhhh! Simon, RIP simon, hata barabara ina mwisho. Wapi jambaz Zombi wa mbeya?
Na mkewe alifariki miaka ya juzi, its said she supposedly fell on a pit latrine.. Talk about curses, kuua watu kumi na wanane si mchezo, taking someones life can haunt you and your family for generations, sasa hao watoto wake ni yatima, na nina uhakika jamii ya matheri haitawachukuwa, damu mbaya eti. Shukran kwa mtoa mada.
mkuu ishu ya wale vijana ilikua lazima walalamike...wale jamaa walikua kumi na nne na walikamatwa moshi mjini wakiwa guest house mbali mbali..wakaenda wakawekwa sehemu moja then wakauawa wote kumi na nne inasemekana walikua wameplan kuvamia banki ya exim na pia kuvamia na kuwatoa wakenya wengine walioshikiliwa gereza la karanga ila kuna mtu aliuza ishu wakakamatwa....polisi walitangaza kuwa walikua wanarushiana risasisasa walikuwa wanalalamika nini wale tuliowaua moshi waliokuwa wanaiba NMB, tatizo la wakenya hasa wakikuyu kama huyu ni majambazi ajabu, wanawezafanya lolote alimradi wapata pesa....baada ya yale majambazi moshi kuuawa wakenya walilalama sana kwamba tz hatuna rule of law
mkuu ishu ya wale vijana ilikua lazima walalamike...wale jamaa walikua kumi na nne na walikamatwa moshi mjini wakiwa guest house mbali mbali..wakaenda wakawekwa sehemu moja then wakauawa wote kumi na nne inasemekana walikua wameplan kuvamia banki ya exim na pia kuvamia na kuwatoa wakenya wengine walioshikiliwa gereza la karanga ila kuna mtu aliuza ishu wakakamatwa....polisi walitangaza kuwa walikua wanarushiana risasi
mkuu sidhani wale wa azikiwe walikua sio violent hata kidogo naweza kusema style yao ni ile ya wale walioiba bilioni tano....pale NBC moshi mjini hawa vijana kumi na nne walikua ni wadogo na walikuja na mama mmoja ambae ana duka la silaha nairobi....wengi wao walikua hawajulikani sana Nairobi..moja ya matukio yaliyowaacha watu hoi ni kuwa baada ya kuwaua na kuwazika ndugu za baadhi ya hao jamaa walikuja na kuiba maiti zao the same night...na kutokomea nazo nairobiNi wale walioiba CRDB Azikiwe nini?
Maana ilisemekana kuwa ile ilikuwa style ya kikenya , wakishirikiana na wa TZ