mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ndio wametoa wao, Nilikuwa nasikiliza sport extra[emoji23][emoji23]Wewe usiwe unatoa story za akina ambangile unaleta umu bila kupta sorce ya story coz uyu msuva ililetwa abari umu kasign bernfica
kile sio chanzo cha habari ni takatakaNdio wametoa wao, Nilikuwa nasikiliza sport extra[emoji23][emoji23]
Msuva mwenyew kathibitisha lakinikile sio chanzo cha habari ni takataka
Dado anafanya uchunguziMsuva mwenyew kathibitisha lakini
ambangile ni mtaalamuWewe usiwe unatoa story za akina ambangile unaleta umu bila kupta sorce ya story coz uyu msuva ililetwa abari umu kasign bernfica
Roho yangu huwa inasononeka ninapoona mchezaji wa Tanzania anapata fursa ya kucheza soka katika clubs kuwa za hapa Afrika au Ulaya umri ukiwa umesonga sana.One of the biggest achievements kwa Tanzanian Players!
Hatimae ndo nimeelewa kwanini hapo kabla alisema "...kuna jambo zuri linakuja," and I wish angekuwa si zaidi ya 25!
I hope habari hizi sio kama zile za Benifica!