Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hii nayo ameona isimpite 😂🤗

Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono.

Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
IMG_0760.jpeg

Pia, Soma: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024
 
Back
Top Bottom