Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025.
Taifa Stars itacheza dhidi ya Ethiopia, Novemba 16 na dhidi ya Guinea, Novemba 19, Benjamin Mkapa.
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea.