simpendi:ananing'ang'ania,nifa nyeje?

varavara

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
605
Reaction score
486
huyu binti nilimpenda sana ila kutokana na makorokocho yake alonifanyia sitaki sitaki simtaki sipendi sipendi simpendi tena cha ajabu ananisumbua,nilimchukulia poa nikajitenga pembeni kuepusha msongamano sasa huu usumbufu wake ananipa hasira mpaka ananilazimisha nawaza mambo mabaya aaah yani nimechoka mpakam basi...nifanyeje?
 
mwambie humtaki tena.....ooh....kids....
 
Ilitokea nini hadi mkamwagana?
 
tamaa mbaya+utulivu 0=ataniua
 
mwambie asome siredi ya leo ya Mtambuzi. Zaidi kata contacts, usidanganyike hakuna mapenzi ya nguvu, if you put your feets on the ground, hatokusumbua huyo.
 
thanx madam x,tatizo la wanawake wengi wakipendwa na mtu mwenye malengo wanajishaua sana,akija sharobaro kiulaiiini bure kabisa
 
wanawake weng sasa iv macho juu jaman tamaa mbaya badilikeni.
 

Shikiria msimamo wako huo huo. Unaweza kuzipotezea meseji zako na vituko vyake, ipo siku atachoka.
 
sii umbatue na kusepa tuu kama waogopa msongamano
 
Mwambie ukweli na umuonyeshe kwa vitendo kwamba huna mpango nae..Atakuacha tuu..
 
mwambie humtaki....
Usipokee simu zake....
Akija kukutembelea usimkaribishe....
Usijibu text zake...
 


NIPE NAMBA YAKE NIJTULIZE NAYEEEEEEEE
@PJN at Mtwara Gas City
 
Mkubalie usumbufu utakwisha
 
mbna jambo dogo hilo, haliitaji hata kuanzsha thread use ur common sense usiendekeze ubongo wako kushauriwa kila kitu.
 
Hivi kumbe na wanaume nao hua wanang'ang'aniwa??kiruuu!
 
mbna jambo dogo hilo, haliitaji hata kuanzsha thread use ur common sense usiendekeze ubongo wako kushauriwa kila kitu.
YAH ni jambo dogo ila linakera na kunisumbua vibaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…