Simpendi Dkt. Bashiru, lakini kwa hili namuunga mkono

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.

Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko.

Kwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively. Kudos sana bashiru usiogope tupo na wewe sisi wakulima mtu anajidai ana upiga mwingi wakt hakuna lolote alilofanya ameporomosha uchumi mliyo ujenga na jiwe kwa damu na jasho leo tumeshuka kiuchumi.

Naona umeamua kujilipua na nnakusihi katu usiombe msamaha wowote wacha wa kusute na kukusimanga ila ukweli ndio huu uliyo sema na tunakungaa mkono [emoji817] kbsa usije kuwa kama ndugai alivyo chemka kwenye hoja yake ya msingi kuhusu tozo.

CCM mmekisha jiandaeni kuondoka 2025 na wengi wenu rais ajae atawaburuza mahakamani shenzi kabisa wezi wakubwa.
 
Nipo Arusha, nimeamka nimekuta umeme umeshakatika jana usiku mpaka napanda kitandani saa nne usiku umeme ulikuwa bado haujarudi.
Sijui ndio staili mpya ya kuupiga mwingi kwa Tanesko?
Arusha ni mji wangu mkuuu upo ktk eneo gani
 
Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.

Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko.

Kwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively. Kudos sana bashiru usiogope tupo na wewe sisi wakulima mtu anajidai ana upiga mwingi wakt hakuna lolote alilofanya ameporomosha uchumi mliyo ujenga na jiwe kwa damu na jasho leo tumeshuka kiuchumi.

Naona umeamua kujilipua na nnakusihi katu usiombe msamaha wowote wacha wa kusute na kukusimanga ila ukweli ndio huu uliyo sema na tunakungaa mkono [emoji817] kbsa usije kuwa kama ndugai alivyo chemka kwenye hoja yake ya msingi kuhusu tozo.

CCM mmekisha jiandaeni kuondoka 2025 na wengi wenu rais ajae atawaburuza mahakamani shenzi kabisa wezi wakubwa.
Jamaa wanatoa mapovu kwa Bashiri badala ya kutoa mapovu kuhusiana na rushwa zilizotamalaki kwenye chaguzi za CCM, na hatumsikii chawa hatabmmoja akikemea rushwa kwa nguvu kama wanavyofanya kwa Bashiru, sijui hawa chawa wapo kwa ajili ya nani kati ya wananchi waliowachagua au serikali, wabunge wetu wanafiki sana, shime tuwamwage kwenye uchaguzi ujao.
 
Kwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively.
Na hata MVIWATA wenyewe wamemshangilia sana na wameona ukweli wa alichokisema, mjinga mmoja wa Kilosa anawatishia MVIWATA wasimsikilize mtetezi wao ...akili tope kabisa
 
Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.

Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko.

Kwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively. Kudos sana bashiru usiogope tupo na wewe sisi wakulima mtu anajidai ana upiga mwingi wakt hakuna lolote alilofanya ameporomosha uchumi mliyo ujenga na jiwe kwa damu na jasho leo tumeshuka kiuchumi.

Naona umeamua kujilipua na nnakusihi katu usiombe msamaha wowote wacha wa kusute na kukusimanga ila ukweli ndio huu uliyo sema na tunakungaa mkono [emoji817] kbsa usije kuwa kama ndugai alivyo chemka kwenye hoja yake ya msingi kuhusu tozo.

CCM mmekisha jiandaeni kuondoka 2025 na wengi wenu rais ajae atawaburuza mahakamani shenzi kabisa wezi wakubwa.
Inafikirisha

1741110270810.png
 
Back
Top Bottom