Simpendi mno shemeji yangu.

Binamu biblia ukiisoma kihivyo si unaweza kulambwa kofi la kushoto ukageuza kulia? hayo maneno yanamaana zaidi ya hiyo ya literali. Nadhani binamu hutaki kukubali ukweli wa maisha unaamini zaidi dhana, huyu mdogo wake wamekuwa maisha yao yote wakitegemeana hawakuwa na mtu mwingine wa kuwasapoti zaidi ya mama yao, leo anaweza kuniamini mimi kuliko mdogo wake? kwa kweli mimi siamini hivyo na wala sitegemei ninanchotegemea ni mdogo wake awe kama watu wengine akisikia shida za dada yake azipotezee.
 
...Now you are talking, kumbe nawe una ukorofi wako!... hayo mbona ni ya kawaida tu kwenye maisha ya ndoa...ulitegemea mamsapu akae nayo rohoni tu japo yanamkera?

Badilika 'mai hanei' wako aanze kukusifia mpaka mdogo wake atamani ungemuoa yeye.

I take back my comments earlier kwamba 'wanakufanyia hila'. Burn, badilika bana... wanaume tunayakoroga wenyewe mambo kisha tunakuja walaumu 'sympathizers' wa mai hanei wetu kutuingilia.
 
huwa napenda sana comments zako......
 
lakini mkuu Burn hujatwambia kwa uzuri kwamba huyu shemeji yako kama mnaishi nae sehemu/nyumba moja ama vipi?, na kama nyumba moja kwanini usimuondoe hapo kuepuka shari?.
 
Kumbe!!!! na wewe una tatizo.unadhana yako umeishikilia kuwa huwezi kumbadilisha mpenzio aache kumpenda mdogo wake na akupende wewe kwanza.Hakuna lisilowezekana,ni vile hujaamua tu.Na hiyo kusema anapaswa kusahau wa kwao sio dhana ati! ndivyo ilivyo.may be kosa ulilifanya mwanzo kabisa ulipokubali kuoana naye wakati unajua hujaumiliki vyema moyo wake.Lazima utafute mbinu za kumfanya akupende wewe kwanza,vinginevyo hali uliyonayo ni sawasawa na kusema wewe ni nyumba kubwa na mdogo wake ni nyumba ndongo.
Kuna umuhimu wakuanzisha kitchen party za wanaume kwa kweli.
 
Nimejitahidi kuficha chuki yangu lakini naona kama ninajiumiza tu, sasa sijui nimtafutie mpwa mmoja amuweke busy asitusmbue.

Mpwa unatutega hapo au uko serious?
 
lakini mkuu Burn hujatwambia kwa uzuri kwamba huyu shemeji yako kama mnaishi nae sehemu/nyumba moja ama vipi?, na kama nyumba moja kwanini usimuondoe hapo kuepuka shari?.

Tunakaa neibahudi moja yaani kitaa kilekile, nyumba moja ila nikifikilia kuhama huu mtaa nashindwa maana nyumba yeneyewe ya NHC kodi 2000/- kwa mwezi nitakwenda wapi?
 
Wewe h=a=n=i=t=h=i kweli, sasa mambo yako ya familia ndio utuletee sisi.

...taratibu Mkuu... hiyo equetion uliyoiweka bora hata jibu lake ungetuwekea = 0,... kinyume na hapo inasomeka/inatafsirika; mtoto asiyekuwa rizki, au 'name calling!'
 
...taratibu Mkuu... hiyo equetion uliyoiweka bora hata jibu lake ungetuwekea = 0,... kinyume na hapo inasomeka/inatafsirika; mtoto asiyekuwa rizki, au 'name calling!'

Huyu ameshindikana,anachotaka ni kutupeleka off topic.Ni bora kuachana nae tu.Tumpotezee,ana lake jambo.
 
yeah, sasa naona HISHMA itarudi punde!.
 
Mpwa namuomba huyo mdogo wake atatulia tu, kwenye get together we mlete. Will help u to keep her busy atakuwa anarudi home anatabasamu na atakushukuru daima.
 
MODE tuondeleeni huyu shetani tafadhali fungieni litumie ile ID nyingine.

..."usimpopoe nyani kwa mawe ungali nawe umo ndani ya jumba la vioo!"
 
Mpwa namuomba huyo mdogo wake atatulia tu, kwenye get together we mlete. Will help u to keep her busy atakuwa anarudi home anatabasamu na atakushukuru daima.

Hapo mpwa umenena nilikuwa nataka voluntia wa kumuweka bize,sasa jitahidi kwenye getitugeza nikimleta ugonge juisi maana anajidai hafagilii mambo yetu ila ukimega tu rudia kinywaji chako ukipendacho.
 
...taratibu Mkuu... hiyo equetion uliyoiweka bora hata jibu lake ungetuwekea = 0,... kinyume na hapo inasomeka/inatafsirika; mtoto asiyekuwa rizki, au 'name calling!'

Nakusoma MOD,lakini ni vyema ukapitia post # 114 hapa na ukaona na kutoa mawazo yako pia, itakuwa sio mbaya sana.
 
..."usimpopoe nyani kwa mawe ungali nawe umo ndani ya jumba la vioo!"

Kuna matusi hayavumiliki watu wanatukanwa na hakuna chochote kinachofanyika. Na wanafahamika kwa kukutukana. Na anatuka watu watano mpaka na wazazi wao na hakuna hata wakusema imetosha.

Niko kwenye nyumba ya kioo yenye wavu ndani yake
 
hahahhahaa! I cant believe kuna watu kama wewe! Nakusamehe bure,nisije kuwa fyatu kama wewe,Kumbe yule aliyesema bange nadhani alikosea ,hizi ni kokeini kabisaaaa.Unaingia kila thread kuchafua hali ya hewa.

Nani anastahili kuomba msamaha? Mlianza wenyewe kwenye ile thread mkadhania nitawanyamazia? and I assure you I will get to the BOTTOM OF THIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…