hahahhahaa! I cant believe kuna watu kama wewe! Nakusamehe bure,nisije kuwa fyatu kama wewe,Kumbe yule aliyesema bange nadhani alikosea ,hizi ni kokeini kabisaaaa.Unaingia kila thread kuchafua hali ya hewa.
Nani anastahili kuomba msamaha? Mlianza wenyewe kwenye ile thread mkadhania nitawanyamazia? and I assure you I will get to the BOTTOM OF THIS.
ZD mdogo wangu, hebu wachana na huyo mtu ackuharibie mood yako.
Nakusoma MOD,lakini ni vyema ukapitia post # 114 hapa na ukaona na kutoa mawazo yako pia, itakuwa sio mbaya sana.
Kuna matusi hayavumiliki watu wanatukanwa na hakuna chochote kinachofanyika. Na wanafahamika kwa kukutukana. Na anatuka watu watano mpaka na wazazi wao na hakuna hata wakusema imetosha.
Niko kwenye nyumba ya kioo yenye wavu ndani yake
Mahusiano, mapenzi, urafiki
Tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!