Kilembwe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2009 Posts 2,058 Reaction score 1,609 May 28, 2010 #21 tuliambiwa ni CHAGUA LA MUNGU! Mikoa ya kusini walikuwa wanamshangilia wanasema NYERERE KARUDI! huyoo JK walimtaka wenyewe sasa waiona NGONDO wapiga KELELE! JK huyo mama huyo!
tuliambiwa ni CHAGUA LA MUNGU! Mikoa ya kusini walikuwa wanamshangilia wanasema NYERERE KARUDI! huyoo JK walimtaka wenyewe sasa waiona NGONDO wapiga KELELE! JK huyo mama huyo!
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 298 May 28, 2010 #22 Juzi katoa ahadi nyingine kali kwamba tatizo la maji kwenye kaya mbalimbali nchini litakuwa ni historia ifikapo 2013. Kama sio FIX nini sasa.
Juzi katoa ahadi nyingine kali kwamba tatizo la maji kwenye kaya mbalimbali nchini litakuwa ni historia ifikapo 2013. Kama sio FIX nini sasa.