C chakuc Member Joined Aug 13, 2015 Posts 69 Reaction score 66 Dec 23, 2015 #1 Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne. Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali
Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne. Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali
Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 182 Dec 29, 2015 #2 chakuc said: Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne. Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali Click to expand... Panel ya 100 watts ndo humo humo laki na nunu, battery laki na nusu kama sikosei, kuna inverter na controller charge, all most pengine laki tano, jaribu kutafuta humu JF wapo wenye company
chakuc said: Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne. Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali Click to expand... Panel ya 100 watts ndo humo humo laki na nunu, battery laki na nusu kama sikosei, kuna inverter na controller charge, all most pengine laki tano, jaribu kutafuta humu JF wapo wenye company