Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Habari wana JF
Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji
Karibuni....
Kwani lazima iwe tower ?Yote ni Mazuri mkuu.
Hayana tofauti kabisa.
Kikubwa kama upo Dar uende kwenye Offisi zozote utakazo penda.
Ukachukue tank lako..
N:B
KIKUBWA NI UJENZI WA WATER TOWER IMARA.
FUNDI PLAMBER MZURI.