Simtank lita 10,000 limepasuka upande wa chini ubavuni

Simtank lita 10,000 limepasuka upande wa chini ubavuni

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Kwa anayejua Fundi wa kuziba Simtank. Ni tank kubwa la lita 10,000 na limepasuka upande wa chini ubavuni. Kutokea chini kabisa kuja juu kama sm 45 hivi.

Najua sehemu ya chini huwa kuna mgandamizo (pressure) kubwa wa maji hivyo yahitaji fundi anayeelewa vizuri
Tank lipo Morogoro mjini
 
Lipige picha nayatengezega japokuwa niko Arusha ila naweza kukuelekeza
 
Daah!..fundi atakula hela tu chini ubavuni akiliunga unga halafu ukalijaza fulu linapasuka tena au kuvuja

Nunua jingine tu kama mfuko wa Suruwali haujatobolewa na Magufuli
 
Nenda pale SIDO karibu na Simbaoil wanamjua bingwa wa hizo kazi
kama unaweza kuniulizia namba yake au kama kuna mtu unamjua anaweza kunipatia namaba yake itakuwa msaada sana kwangu
 
kama unaweza kuniulizia namba yake au kama kuna mtu unamjua anaweza kunipatia namaba yake itakuwa msaada sana kwangu
Wewe upo Morogoro, mimi nipo nje ya huo mji, nimekupa tip janjaruka!!
 
limalizie kulipasua, linafaa sana kwa matumizi ya ujenzi wa banda imara la kufugia mifugo.
alafu utakuja kunishukuru hapo baadae.
 
Back
Top Bottom