Nenda pale SIDO karibu na Simbaoil wanamjua bingwa wa hizo kaziTank lipo Morogoro mjini
Wewe upo Morogoro, mimi nipo nje ya huo mji, nimekupa tip janjaruka!!kama unaweza kuniulizia namba yake au kama kuna mtu unamjua anaweza kunipatia namaba yake itakuwa msaada sana kwangu
Karibu kabisa na Tanesco almost opposite na Kanisa la KKKT MjimpyaSIDO ni ile ya Kihonda sio?