Simu aina ya pro max

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Wadau polen na majukum

Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu

Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake
 


Kwanza achana kabisa na simu za kukuu.
Unachokiona hapo sio utakachotumiwà.
 
Simu fake hzo. Achana nazo kabisa. Mbn kuna simu nzuri tu za Oppo na Xiaomi kwa bei hyo hyo Aliexpress
 
Oppo au Vivo vp hizi mkuu?
Oppo na vivo ziko sawa ila kuzipata kikuu kuna walakini.

Angalia Aliexpress simu za brand hizi ni bei nafuu na sio mbaya. Kuliko kwenda huko kikuu
  • Meizu
  • Leagoo
  • Doogee
  • Oukitel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…