Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Gharama zote za simu halafu unaweza Kuta ana laini za university...daily anajiunga university offer.
 
Iyo anaweza kupiga popote muhimu iwe ina charge yani hata apotee mbali kusiko minara sattelite based
 
Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote. Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500. Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio mtu wa ki-spoti spoti




Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria.

Kufikia June mwaka 2016 kwa mujibu jarida la Forbers, alitajwa kuwa na ukwasi unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola bilioni 15.1 akiwa amewekeza kwenye nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania ambapo anamiliki Kiwanda cha kutengeneza ‘Cement’ kilichopo mkoani Mtwara.
 

Nakumbuka kuna mtu alipo iyo hiyo simu alijua ya bei rahisi na kuna uzi ulifunguliwa humu kuwa jamaa anatumia simu ya gharama ndogo bila kuifanyia utafiti hiyo simu

Pricing and availability
Vertu Signature Touch is a luxury phone and is not for the faint hearted with price ranging between £6,500 (1.9 million Naira) and £13,700 (4.1 million Naira), depending on configuration.

Vertu Signature Touch (2015 Edition) Specs
Here are a few specs of the Vertu Signature Touch Luxury smartphone:

General Features
  • Platform: Android 5.1 (Lollipop)
 
Mkuu weka full specifications za simu hiyo sio kutupa bei yake tu maana hata mm naweza kuwa na techno ya laki moja ila nikawekewa frame ya gold ikafika 5-10 million tsh kumbe specification zake za kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…