Simu banking kuna harufu ya wizi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258

Nakusanya ushahidi wa watu ambao kwa kutumia fursa ya simbankin oesa zao zimepotea hasa PALE UNAPOAMBIWA UJUMBE WAKO UMETUMWA halafu huoni matokeo

naandika kwa sababu imeshanitokea mara kama tano hivi na ukijaribu kuuliza wahusika wanakua wakali wao tena

ni nafuu lkn kama inakuja na ukandamizaji TUNAHITAJI TAFAKURI MPYA
 
Simnanking haina isue sana kama vibubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…