INAUZWA Simu Blackberry Pearl 8100, Tsh 45,000/-

INAUZWA Simu Blackberry Pearl 8100, Tsh 45,000/-

Joined
May 8, 2018
Posts
75
Reaction score
34
Je wewe ni mtu wa kuchat sana na unakosea herufi mara nyingi ukitumia simu za touch zisizo na physical keyboard?

Simu hii ikiwa na full qwerty keyboard inayokuwezesha kuandika kwa uharaka zaidi na kufurahia chat zako!

The BlackBerry 8100 ni simu ya kijanja ambayo ni simu ndogo na inabebeka ukienda sehemu yoyote.

quantity; more than 100 units

condition; used zipo na hali nzuri

Tupo Kariakoo, Dar es salaam

jumla na rejareja piga 0688184986 / 0718032837

36604929_2129530700596720_1875567713712078848_n.jpg

36620363_2129530833930040_2442074363910946816_n.jpg
 
Ina support whatsapp & other social networks?
 
Going back to the roots.
Labda ninunue kwa ajili ya kuwafundishia wajukuu zangu kuwa Research in Motion walikuwaga noma sana enzi zao
 
Tunapatikana Kariakoo, Dar es salaam.

jumla na rejareja piga 0688184986 / 0718032837
 
Back
Top Bottom