Samsung A series
tofauti yake ni ipi mkuu emu nieleze vizuri apo
tofauti yake ni ipi mkuu emu nieleze vizuri apo
Mkuu sawa ninachokitaka ni kujua maana ya flagship,midrange n.k na mifano mkuuHigh end au flagship ni simu kubwa kiongozi yaani yenye super and best specifications kuliko zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki mkuu, kwenye Uzi wangu Kilangi masanja hua unazipigia promo na umeagiza kadhaa but huku waziponda? Xiaomi habari ya mjini.
Najua ila binafsi napendelea zaidi One Plus hasa ile McLaren edition.
Mkuu siyo unafiki nami ni mtumiaji mpaka sasa ila nashangaa Xiaomi kutoonekana kwenye simu bora mwaka 2019Acha unafiki mkuu, kwenye Uzi wangu Kilangi masanja hua unazipigia promo na umeagiza kadhaa but huku waziponda? Xiaomi habari ya mjini.