Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.