Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi.
Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri wenu kwa kuzingatia.
1. Ukaaji wa chaji
2. Fast Internet
3. Best Pictures
4. Memory kubwa pia
Tusizungumzie Samsung, Apple n.k hizo hapana. Nahitaji hizi za kichina kama Xiomi, Real Me,Vivo, Oppo and the like. Ukiacha za Tecno,Infinix,Itel hizo hapana.
Nawasilisha pia picha mnisaidia kuchagua kwa utaalamu wenu