Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
[emoji23][emoji23] mkuu, k7 bado zipo mtaani kwenu?Umesema hutaki Tecno ambayo ni simu ya walimu.
ningekushauri uchukue Tecno K7.
Hakuna kitu kama hicho.Nimeoa Samsung ya million 5 pale Mlimani City, I will go for it
Kwa nini?Mkuu chukua oppo utanishukuru
Nakuung mokonoMkuu chukua oppo utanishukuru
Z Fold 3 512GB bei gani mkuu?Hakuna kitu kama hicho.
Ndivyo unavyowadanganya mataahira wwnzako huko kijijini, sio?
Ushauri wangu. Ni bora uchukuwe Iphone 7 au 8 used kuliko kuchukuwa hizi za kichina. I phone ni simu inayodumu na haina mawenge kama hizi za mchina.Kwa nini?
Inafikia mil 5+. Tanzania simu kama hii ni chache kwa sababu ya hali ya uchumi. Na ukienda kichwa kichwa utapigwa na feki. Kimsingi Bongo unapotaka kununua simu inatakiwa uwe makini sana. BTW mimi ni bora niingie gharama kidogo na ninunue hata used Iphone kuliko kununua hizi za mchina. Hazina maisha marefu na zina maluweluwe sana.Z Fold 3 512GB bei gani mkuu?