simu feki na TCRA

koboG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
2,763
Reaction score
5,167
wabongo bwana. kwakujifariji tuko vizuri!

eti unakuta mtu ana simu aina ya OKING
ukimuuliza simu yako ni aina gani
anakujibu! OKING X2 new model.
ilimradi umuone hana simu feki
 
wabongo bwana. kwakujifariji tuko vizuri!

eti unakuta mtu ana simu aina ya OKING
ukimuuliza simu yako ni aina gani
anakujibu! OKING X2 new model.
ilimradi umuone hana simu feki
Na kweli huko ni kujifariji
 
Simu kava Nokia ukiiwasha inajiandika mbonde kazi tunayo au unakuta Samsung kubwa la touch screen liwashe ndio utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…