Phone4Sale Simu full box ,nakupa na risiti yake kabisa ,150k

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu,

Nauza simu hii bado mpya kabisa ,full box ,chaja , earphone,na risiti kabisa nakupa ...

Kwa mawasiliano zaidi 0620221205 Niko DSM

 
Nimnunulie japo kiben 10 changu, kukojozwa tukojozwe hata kizawadi cha simu kama hiki tushindwe kuwanunulia kweli?
Kama anakufurahisha to the maximum mchukulie kizawadi hicho πŸ˜‚.

Ataongeza juhudi zaidi.
 
HIyo Bei haiendani na Specifications + Brand + Used.

Perhaps ndio maana nawe waiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…