Simu gani ya ukweli?

Simu gani ya ukweli?

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
891
Reaction score
237
wana jf natafuta cm ya ukweli yenye pdf, flash player,internet isurf kama computer,quick office,yenye kudownload file,software, inayo update software ka computer, yenye memorie kubwa,windows media,
watu wananiambia blackberry ndo yenyewe, but wengine wananiambia nokia plz ka kuna m2 mwenye cm yenye izo features zote ka zilivyotajwa anisaidie.
 
Nokia
brand unajulikana sana. Kuna simu za E- series( Eg E72) kuna simu za N-series ( eg N-900)

NB
  • Nokia E series ni model ilitengenzwa kushindana na blacbery.
  • Sababu ya brand yao iko juu Nokia original bei zao ziko juu sana

LG
Try to check LG GM750 or LG

SAMSUNG

Omnia i900 ma some series

Kuna simu nyingine zinatwa HTC nasikia ni nzuri
 
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi
 
.
Hiyo simu naikubali, lakini kama ukiona Hela haitoshi basi chukuwa nokia n95 8gb ni simu nzuri tu, ninaitumia na bei zimeshuka sana
 
E 71 iko bomba . Inazo zote ulizotaja na zaidi.
 
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi

Iphone ni ngumu kutumia sijui ni ushamba wangu ikabidi niuze mambo gani ya kuumizana kichwa 😉
 
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi

Ebu nipe sababu zinakufanya useme Iphone ndio solution kama una hela ? usiseme tu hamna kitu.

katika hizi simu wich ina tabia ya ku freeze sana na kohitaji kurestart? Durability ya battery. Availability ya service na upatikanaji wa replacement equipment. Hivi ni vitu vya msingi.
 
Iphone ni simu poa sana lakini unatakiwa kufahamu kwamba all applications za iphone zinapatikana online katika itunes and all the features ambazo unaulizia ukizikuta katika free apps basi ni trial. na kama kwetu hapa bongo hatuna itunes store kwa hiyo ni cheche sana kupata applications zake. Same applies to Blackberry lakin kama unapata Blackberry Storm II ama Bold 9000 na 9700 au Blackberry Tour unaweza kuwa umekaa vizuri.

Highly recomended phones ni zile ambazo zinatumia Windows Mobile and HTC are the best there is in the market wakifuatiwa na HP. Kwa hizo nna hakika utapata all the applications ambazo unahitaji. As for Nokia well sio fan wa nokia but kuna N900 ama E series nadhani zinaweza kukusaidia hapo katika kutafuta kitu bora.... Kikubwa ni kwamba uwe na pesa ya kukuwezesha miliki hizo device.
 
Mimi naona BB Bold 9000,hiki ni kifaa,kama gari ni Hummer bana ni simu nzuri sana kama unatumia kwa mambo ya kiofisi,ila kasoro ndogo ni camera yake ni 2 MP,lakini ukitaka raha ya kutext,kudownload haa inajipush si kawaida,na ukitaka uifaudu na BIS jiunga na Zain,utaburudika na roho yako hata kama ulikuwa unavua Usipa(Dagaa )ndani ya Lake Nyasa utapata mawasiliano ya uhakika
 
Iphone 3G OR 3GS is everything u want! Kuanzia quick office, Games, GPS, Video, movies, skyping, Holy bible (you dont have to carry your bible when you go to church) una google kwa kutamka, facebooking, Dictionaries of any language nk...nk

Simply magic!
 
Ebu nipe sababu zinakufanya useme Iphone ndio solution kama una hela ? usiseme tu hamna kitu.

katika hizi simu wich ina tabia ya ku freeze sana na kohitaji kurestart? Durability ya battery. Availability ya service na upatikanaji wa replacement equipment. Hivi ni vitu vya msingi.
ok.

Iphone 3G OR 3GS is everything u want! Kuanzia quick office, Games, GPS, Video, movies, skyping, Holy bible (you dont have to carry your bible when you go to church) una google kwa kutamka, facebooking, Dictionaries of any language nk...nk

Simply magic!
umejibiwa hapa kama unahitaji maelezo zaidi google utayaona,kwa uhakika ni kwamba mi natumia na nainjoy napata kila taka uliyoitaja mpaka vingine nikikutajia utaishia kukenua meno tu.🙂
 
Mimi ninatuamia nokia n97. Nadhani ni best kwa sasa. Vitu vyote unavyotaka vipo + best camera.Nokia applications zinapatikana kwa urahisi.
 
n97 ni simu safi sana pia,mi nilitumia ikanishinda fungua funga na watu wana sms kuliko maelezo,na tatizo jingine kwenye hiyo nokia touch screen vimaandishi vidoogo halafu hawajaweka pen kutumia vidole inaudhi kweli
 
wana jf natafuta cm ya ukweli yenye pdf, flash player,internet isurf kama computer,quick office,yenye kudownload file,software, inayo update software ka computer, yenye memorie kubwa,windows media,
watu wananiambia blackberry ndo yenyewe, but wengine wananiambia nokia plz ka kuna m2 mwenye cm yenye izo features zote ka zilivyotajwa anisaidie.

napata shida kuamini kuwa umeshawahi kutumia smartphone at all,maana hizo feature unavyozirusha as if kuna mtu anaropoka tu na wewe una-type.

lakini we can help either way.

Kwa kuandika Windows Media unamaanisha Windows media player au wmv files?kama ni WMP tu peke yake umeondoa simu zoote za zisizotumia Winmo OS.

Kwa kutaka Flash Umeondoa iphone na simu nyingine nyiingi tu.

Kama unataka simu iliyo na kila feature basi HTC HD2 will be the closest thing for you.

google Nexus one will almost do what HD2 can do,but fails a bit short.

Pili hujaandika unataka iwe ni touch screen au keypad based phone,kwani kwa sasa hivi simu yenye uwezo mzuri wa kucontrol touchscreen as well as keypad input ni Motorola Droid,Milestone and some HTC iterations.

Also Nokia phones like N97 will almost do all the above but in a very poor way(bad user experience0,mfano kwenye web surfing.

Kitu kingine kama uko Tanzania jiandae kutengana na $700-$1000 kumiliki hizo simu,kama unataka kuzipata kwa $100 jiandae kununua fake.
 
hapa mkuu maelezo yako yametosheleza kabisa na aandae hela ya maana otherwise atakumbana na mchina type
 
Back
Top Bottom