Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuziNokia
brand unajulikana sana. Kuna simu za E- series( Eg E72) kuna simu za N-series ( eg N-900)
NB
- Nokia E series ni model ilitengenzwa kushindana na blacbery.
LG
- Sababu ya brand yao iko juu Nokia original bei zao ziko juu sana
Try to check LG GM750 or LG
SAMSUNG
Omnia i900 ma some series
Kuna simu nyingine zinatwa HTC nasikia ni nzuri
.hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi
iphone ndo kitu makini
mkuu mbona biashara hujanijibu?iphone ndo kitu makini
hamna kitu,km una hela unataka cm uhakika ni iphone tu,by the way kuna nokia n97,32gb hapo bongo inatafuta mnunuzi
ok.Ebu nipe sababu zinakufanya useme Iphone ndio solution kama una hela ? usiseme tu hamna kitu.
katika hizi simu wich ina tabia ya ku freeze sana na kohitaji kurestart? Durability ya battery. Availability ya service na upatikanaji wa replacement equipment. Hivi ni vitu vya msingi.
umejibiwa hapa kama unahitaji maelezo zaidi google utayaona,kwa uhakika ni kwamba mi natumia na nainjoy napata kila taka uliyoitaja mpaka vingine nikikutajia utaishia kukenua meno tu.🙂Iphone 3G OR 3GS is everything u want! Kuanzia quick office, Games, GPS, Video, movies, skyping, Holy bible (you dont have to carry your bible when you go to church) una google kwa kutamka, facebooking, Dictionaries of any language nk...nk
Simply magic!
n97 ni simu safi sana pia,mi nilitumia ikanishinda fungua funga na watu wana sms kuliko maelezo,na tatizo jingine kwenye hiyo nokia touch screen vimaandishi vidoogo halafu hawajaweka pen kutumia vidole inaudhi kweliMimi ninatuamia nokia n97. Nadhani ni best kwa sasa. Vitu vyote unavyotaka vipo + best camera.Nokia applications zinapatikana kwa urahisi.
wana jf natafuta cm ya ukweli yenye pdf, flash player,internet isurf kama computer,quick office,yenye kudownload file,software, inayo update software ka computer, yenye memorie kubwa,windows media,
watu wananiambia blackberry ndo yenyewe, but wengine wananiambia nokia plz ka kuna m2 mwenye cm yenye izo features zote ka zilivyotajwa anisaidie.
hapa mkuu maelezo yako yametosheleza kabisa na aandae hela ya maana otherwise atakumbana na mchina typenapata shida kuamini kuwa umeshawahi kutumia smartphone at all,maana hizo feature unavyozirusha as if kuna mtu anaropoka tu na wewe una-type.
lakini we can help either way.
Kwa kuandika Windows Media unamaanisha Windows media player au wmv files?kama ni WMP tu peke yake umeondoa simu zoote za zisizotumia Winmo OS.
Kwa kutaka Flash Umeondoa iphone na simu nyingine nyiingi tu.
Kama unataka simu iliyo na kila feature basi HTC HD2 will be the closest thing for you.
google Nexus one will almost do what HD2 can do,but fails a bit short.
Pili hujaandika unataka iwe ni touch screen au keypad based phone,kwani kwa sasa hivi simu yenye uwezo mzuri wa kucontrol touchscreen as well as keypad input ni Motorola Droid,Milestone and some HTC iterations.
Also Nokia phones like N97 will almost do all the above but in a very poor way(bad user experience0,mfano kwenye web surfing.
Kitu kingine kama uko Tanzania jiandae kutengana na $700-$1000 kumiliki hizo simu,kama unataka kuzipata kwa $100 jiandae kununua fake.