Phone4Sale Simu hizi zinauzwa bei nafuu njoo utoe pesa na kuendelea kutumia

Phone4Sale Simu hizi zinauzwa bei nafuu njoo utoe pesa na kuendelea kutumia

Nestory Westone

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
154
Reaction score
116
Kuna Itel tatu, moja ni smartphone ya laini mbili na mbili ni simu ndongo za laini tatu kila moja, pia kuna Tecno ina laini tatu.
Simu ndogo bei ni Tsh15,000/= kila moja na Smartphone bei ni Tsh35,000/=.

Bei haipungui ukiona hazikufai haina haja kuchafua tangazo. Simu zote zimetumika siku chache na hazina matatizo kabisa.

Napatikana Mbezi Dar es Salaam karibu na barabara ya kwenda Makabe(Ni karibu na stendi ya mikoani).

20211127_150454.jpg
20211127_151919.jpg
20211127_152001.jpg
 
Hiyo TECNO ya laini 3 bila shaka ni T 402! Naielewa sana hiyo simu na ndio ninayotumia
 
Nipo hapa njia panda ya Tegeta A niletee hizo mbili za 15k nitumie kwenye tigo pesa na aiertel money. Uje na chaja zake zote
 
Kiongozi ungenicheki kwenye namba ya simu, na ukihitaji pamoja na laini za wakala nakuazima, simu zote zina laini za wakala ila hazifanyi kazi tangu mabanda yametolewa barabarani, mpango wa kupanga frem bado sana.
Nipo hapa njia panda ya Tegeta A niletee hizo mbili za 15k nitumie kwenye tigo pesa na aiertel money. Uje na chaja zake zote
 
Back
Top Bottom