Nestory Westone
Senior Member
- May 13, 2015
- 154
- 116
Smartphone ya buku tatu na nusu? Itakuwa kimeo+++
Niko mwanza ningeichukuaWapi umeona hio bei au wewe ni kipofu/mgonjwa.
Umeridhika tayari, hapo ukute una miaka zaidi ya 40 ila bado huna akili, mimi nauza hivyo kwasababu najua mali ikitumika thamani inapungua.
Nestory Westone weka mawasiliano basi
Mkopo upo?Bado zipo, karibuni.
Nipo hapa njia panda ya Tegeta A niletee hizo mbili za 15k nitumie kwenye tigo pesa na aiertel money. Uje na chaja zake zote
Mkopo upo?
HayaMkopo upo sana kwasababu simu hazina matumizi kwasasa, nicheki tu.