Simu huduma kwa wateja hawapokei simu kwa wakati

Simu huduma kwa wateja hawapokei simu kwa wakati

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa.

Kwa nini kusiwe na namba ya moja kwa moja wanapokea huduma kwa wateja?
 
Wakikujibu nishtue
 
Tena huduma kwa wateja imekua ni uwanja wa matangazo. Unapiga simu upate msaada wa haraka unaanza kusikia kawimbo ka advertisement bila kujali shida uliyokua nayo inahitaji ufumbuzi wa haraka.

Poor marketing strategy kibaya zaidi ni mitandao yote ina huo ujinga. Siku hizi nikipata changamoto husika kwa mtandao wa simu hata sihangaiki na hizo namba za huduma kwa wateja. Nakomaa kimya kimya kuitatua.
 
Back
Top Bottom