Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Muda unaofaa ni upi? Wiki ngapi? Miezi mingapi? Miaka mingapi?Wasifike mbali kisa?Hiyo ni kama kukutana na mtu tu kawaida...labda kama hawajatumia muda kufahamiana ndo tatizo!
Hiyo hali ni wajibu iwepo!Wanandoa / Wapenzi wote lazima kuwe kuna kitu ki1 kimewakutanisha. Mimi sina wasiwasi na hiyo ndoa itadumu sana ilimradi VIGEZO NA MASHARTI vizingatiwe.
mapenzi au ndoa haviathiriwi sana na namna wapendanao walivyokutana, bali namna wanavyoendelea kuwa pamoja.
Hiyo hali ni wajibu iwepo!
Lakin ndugu yangu mazingira ndio kitu cha kutazama kwa umakini.
Huwezi kumpata mpz wako mazingira hayana adabu utegemee nae ataadabika!
Hilo walionaje?
Husninyo!Watu wanakutana mazingira tofauti.
Wanaweza wakadumu/wasidumu.
Hilo swala halijaliishi walikutana vipi.
Jambo JF!
Kwa wakati wa mwanzo ilionekana simu hasa hizi mob.... kua zinachangia kwenye uhalifu mwingi kwa watu wasio waaminifu.
Sasa jamaa yangu ananieleza kua hiyo siku alipokea sim ya dada asiemfaham...alipomuuliza huyo dada ataje jina lake...hakujibu.
Lakini jamaa nae akawa akimtafuta...hatimae wakawa wakipigiana sim ...wakijuliana hali na kubadilishana mawazo...
Hatimae jamaa amemuoa.
1-Je hili walionaje?
2-Watafika mbali hawa?
Nawakilisha.
wewe umeongelea kukutana kwao kama kutafanya uhusiano udumu.Husninyo!
Hapo ndio tatizo mnaliendeleza...maana wapo wanawake wengi hua hawangalii baadae itakuaje?...
Wao wanataka kuolewa tu. Au wanataka kua na mahusiano tu.
Hilo ni tatizo kubwa kwenye mahusiano.
Kama ndio ww utapenda kwa muda mchache utelekezwe/uachwe?
Nmefundishwa adabu!Ni mazingira yapi hayana Adabu?
Unataka watu wakutane kwenye futari?
Unataka hadi wakutane kwenye Send off au Harusi?
Sikubalianai na wewe hata nukta, watu wanaweza kukutana Popote na from there nuru ya Upendo ikawa kati yao na wakawa wanandoa mahiri wa kuigwa kwa wanavyopendana na kuheshimiana!
Nami hukutana nayo majuto hayo hapo kwenye nyota. Sijui chaguo hutokea baada ya kuishi nae au baada ya kuishi nae ?ukichukua karatasi nyeupe..then ukachukua pen halafu ukaweka dot(.) kwenye ile karatasi..baada ya hapo itundike karatas upande wa pili wa ukuta (kuanzia mita 6 na kuendelea) na wewe simama upande wa pili wa ukuta kisha kitazame kile ki-dot ulichokiweka kwenye karatas.....hakika hutakiona vizuri.....jaribu kuwa unaisogolea karatasi taratibu.....hakika kadri unavyoikarinia ile karatas ndivyo unavyoweza kuionaile dot vizuri....ndugu zangu ndoa iko hivyo...mwenzio akiwa mbali na mkawa mnawasilia kwa hizi simu wao wanaita (cyber marriage/relatiship) huwez kujua tabia yake...lakini kama ikitokea mkakaa pamoja kwa mda flani lazima utagundua vitu amabavy tofauti na vile ulivyofikirri wakati yuko mbali.....
kwa hawa kwa kuwa wameona time will tell.....pengine chemistry zao ziko sawa.
lakini kumbuka kitanzi cha ndoa huja taratibu sana mwisho unajikuta umekivaa...wengi wapo wanalia sana na wengine siku hizi wanasingizia kuwa hakuwa/**hukuwa chaguo langu.....**
Mapenzi huanzia wapi?wewe umeongelea kukutana kwao kama kutafanya uhusiano udumu.
Kama kwenye ndoa watapendana na kuheshimiana lazima watadumu bila kujali walikutana kwenye simu, baa, kanisani au vichochoroni.
Umenichekesha kweli kweli...Wasifike mbali kwanini? wapi pameandikwa kuwa kuna sehem maalum ya kukutana na MUPENZI? popote mwaweza kukutana na maisha yakaendelea kama kawa!!!
Sasa! BAK kuna tatizo limejitokeza kati yao....bibie anazo mali nyingi kuliko jamaa...pia anao watoto wawili....jamaa nae ana mtoto mmoja. Tatizo huja bibie akifanya shopping...wanae wanapata vzur kuliko mtoto wa jamaa. Sasa jamaa inamuuma ila hana maamuzi!!Mapenzi yanaweza kustawi bila kujali namna ya wahusika walivyokutana ali mradi tu kuna mapenzi ya kweli kati ya wahusika hao. Wanaweza kabisa kufika mbali wakiweka bidii kubwa katika penzi/ndoa lao/yao ili kuhakikisha linadumu/inadumu kwa muda mrefu. Nawatakia kila la heri kwenye ndoa yao.