kipakaMwitu
Senior Member
- Feb 19, 2009
- 158
- 23
zima simu..
RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadaeMkubali kama alivo. Kwake yeye sim hiyo ni muhimu na hata akiweka silence bado ataongea tu. Labda ujaribu kumwambia awe na muda wa kazi na awe na muda wa kuongea na wewe. Pole pole awapeleke wateja/suppliers kuelewa kua wakiita baada ya masaa fulani hata jibu. Wakisha zoea utaona mabadiliko.
Solution ingine ni kutumia blackberry na kuwalazimisha wateja/supplier kum-contact through BBM au emails.
huyo mpenzio ni kabila gani?jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza pale ninapomshaur simu zetu tuziweke silence. Hatak kusikia hilo. Nifanyeje wana jf?
RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadae
Mi sidhani kama hivi vitu vinategemea kabila au mkoa. Vinategemea tu penzi lenu limekaa vipi na kama unalipa kipaumbele au laa...RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadae
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza pale ninapomshaur simu zetu tuziweke silence. Hatak kusikia hilo. Nifanyeje wana jf?
mmh! kweli akili zimezidiana!Wakati mech inakaribia kukolea refusha mkono umzimie simu. Mkimaliza unaiwasha.